Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Bingwa wa chombo duniani,mchezo huenda kufanyika mjini Kinshasa kati ya mzaliwa wa Kongo Junior Makabu Ilunga na mpolishi MichakCieslak
  • Beni:watu makumi mawili wameuawa na EDF mjini Beni katika jimbo la Nord Kivu
  • Kinshasa:Baraza la ulinzi la juu leo siku ya tano mjini Kinshasa
  • Kinshasa:Wahalifu  watatu walioneshwa leo na polisi mjini Kinshasa
  • Mbandaka:Wasi wasi ya wakaji wa Mbandaka sababu ya ugonjwa kwa corona virusi
  • Lubumbashi:Waziri wa afya jimboni ana sisistiza wakaji kwa kuepuka ugonjwa wa corona  virusi
  • Bukavu:asilimia makumi mnane ya mji huenda kukosa maji ya Regideso munamo siku za usoni humo jimbo la Sud Kivu./sites/default/files/2020-01/31012020-a-s-journalswahilisoir-00.mp3