Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:tatizo kuletwa na kazi za sauts- de- moutons
  • Kinshasa:Mjibu ya balozi wa raisi Felix Tshisekedi kuhusu swala la sauts -de-moutons
  •  Bandundu:munganga kiongozi wa eneo la afya la bandundu ana sisitiza wakaji kuhusu ugonjwa wa saratani kusherekewa ulimwenguni leo tarhe nne mwezi wa pili
  • Beni:watotot 51 wametengwa na kundi za silhaa kwa msaada wa Monusco humo jimbo la Nord Kivu
  • Kananga:Shirka la kiraia linashutumu kuzuka tena kwa usalama mdogo jimboni Kasai Central
  • Lubumbashi:tembo kutoka mbugha la Upemba zina haribisha mashamba za wakaji wa Malemba Nkulu katika jimbo la Haut Lomami./sites/default/files/2020-02/04022020-s-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3