Journal Swahili Soir

  • Beni:Matokeo kwa mda ya shambulio la wa ADF ni watu 15 waliuawa jana usiku humo jimbo la Nord Kivu
  • Bunia:mwisho wa mahojiano ya kijamii humo jimbo la Ituri
  • Kinshasa:Tathmini ya mchakatro wa kujumuisha kwa wapiganaji wa zamani wa FRPI
  • Kinshasa:Bajeti ya mwaka wa elfu mbili nan makumi mawili yana weza kupunguzwa nchini jamuhuri ya kidemocrasia ya Kongo
  • Kinshasa:marufuko ya kuuza ama utumiaji wa mifuko ya palstiki mjini Kinshasa
  • Kinshasa:Kuhusu ajali ya barabara iliejitokeza siku ya mungu iliopita mjini Kinshasa,watu kumi na saba wamefariki kwa leo aseme muganga ausika na kufwatilia waathiriwa hawa./sites/default/files/2020-02/18022020-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3