Journal swahili soir

  • Kinshasa:Polisi walinzi wa kazi za serkali na ya wagombea kiti -cha-uraisi kwa uchaguzi wa disemba ijao walioneshwa leo mjini Kinshasa ,wako zaidi ya mia tano
  • Beni:Kuna kusudiwa kuundwa kamisa maluum ya mahudsiano ya uongozo kwa kupiganisha ugonjwa huletwa na virusi y'Ebola
  • Bukavu:Usalama ndogo ina endelea mtaani Bagira katika mji wa Bukavu humo jimbo la Sud Kivu
  • Lubumbashi: shirika Linapedho lina shutumu kufungwa kiyolela lwa watetezi wa haki za bin'adamu
  • Kinshasa:kuoneshwa kwa hesabu ya maadibisho na Unesco
  • Kinshasa:kutangazwa kwa matokeo ya maoni kuelekea uharibifu wa ardhi /sites/default/files/2018-11/02112018-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3