Journal swahili soir

  • Goma:msiba wa ndege ya mabawa mjini Mavivi katika jimbo la Nord Kivu
  • Ocha shirika la kimataifaa lausika na swala la kihutu Ocha lina amuwa kuhama kwa watu wengi tangu mwezi wa kumi na moja uliopita jimboni Nord Kivu
  • Goma :kuachiliwa huru kwa watu kiisha siku tatu
  • Goma:maandamano ya mia ya majamaa za wahami wa pale Nyabiondo
  • Beni:matayarisho ya sheree za muisho ya mwaka katika uzuni  pale Beni jimboni Nord Kivu
  • Bunia:Maandamano ya wakaji wa sekta ya madini jimboni Ituri./sites/default/files/2018-12/24122018-p-s-journalfrancaisswahilisoir-00.mp3