Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:hali ya mvutano kunako baraza la bunge ya taifaa  mashabiki ya UDPS waliandamana mbele ya ofisi ya kituo icho mjini Kinshasa
  • Bunia:hali mbovu kutambuliokana pale Iga barrier kiisha kuawa kwa watu wakumi na wawili mtaani Djugu humo jimbo la Ituri
  • Kindu:kamanda wa jeshi la taifaa anaalika wasi wa eneo ilo hasa wale wa  kundi la malaika wajisalimisha humo jimbo la Maniema 
  • Mbandaka:hali mbovu katika eneo la Bolingo mtaani Budjala katika jimbo la Sud Ubangi
  • Kananga:ugawanyaji wa vyakula na vifaa viengine vya kilimo kwa wahami zaidi ya elfu mbili mjini /sites/default/files/2019-06/10062019-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3Kananga katika jimbo la kasai central.