Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Masomo haikurulia pale chuo kikuu cha Kinshasa leo tarhe makumi mawili na nnee februari
  • Kinshasa:Mteuliwa wa Mbandaka Henry Thomas Lokondo ana towa maoni yake kuhusu kutajwa kwa mawakala wa umma
  • MbujMay:Watalaam wa FPI wana angalia ngisi ya kujenga bandari humo jimbo la Kasai Oriental
  • Bukavu:Kahawa  arabica nzuri ulimwenguni  ina toka kwenye kisiwa cha idjwi katika jimbo la Sud Kivu
  • Kananga:gereza ndogo za polisi zimegeuka kuwa vyumba vya mateso ya mwili katika jimbo la Kasai Central
  • Lubumbashi:Usafirisaji wa watu wote mjini Lubumbashi , meya wa mji ana sema nini?/sites/default/files/2020-02/24022020-a-s-journalswahilisoir-00.mp3