Journal Soir

Habari za jioni 17 Februari, 2025

  • Bukavu: Utulivu unazingatiwa hii siku ya kwanza mjini Bukavu siku moja baada ya kukaliwa na waasi wa M23 wanaoungwa mkono na jeshi la Rwanda
  • Bunia: Wanamgambo wa CODECO walishambulia kambi ya Djaiba huko Ituri katika usiku wa kuamkia hii siku ya kwanza. Walirudishwa nyuma na jeshi la Kongo likiungwa mkono na walinda amani wa MONUSCO
  • Mbuji Mayi: Huko Kasai Oriental, wafanyakazi wa Tume ya Kitaifa ya Kuzuia Barabara, CNPR Mbuji Mayi wanadai mishahara yao ya karibu miaka tisa./sites/default/files/2025-02/170225-p-s-journalswahilisoir-00-web.mp3 

Dans la même catégorie

24/02/2026 - 17:15
/
24/02/2026 - 16:51
/
24/02/2026 - 16:48
/
24/02/2026 - 16:47
/