Habari za asubuhi za tarehe 190226
- Baada ya kuachiwa kwa wafungwa mia moja na makumi mbili na moja kutoka gereza la Makala, opereshen hii itaendelea . Na hai husiani na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu ambao, unatawala katika kituo hicho.
- Tarehe kumi na nane ,ya mwezi huu pili , Mwaka tulimo , Katiba ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inaadhimisha miaka makumi mbili tangu kuanzishwa kwake.
- Katika Jimbo la Kivu Kaskazini, mashirika karibu kumi , ya kuwalinda watoto , yana toa wito kwa pande zote , zinazopigania, kusitisha kuajiri watoto.
- /sites/default/files/2026-02/19022026-p-s-journal-jeudimatin-web.mp3





