Habari za asubuhi siku ya pili tarehe 030326
- Jeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ( FARDC ) , ime tangaza kuwa, ime ichukuwa tena mji wa Mikenge , mikononi mwa waasi wa AFC/M23, katika eneo la Fizi, Jimbo la Kivu Kusini
- Kivu Kaskazini, wawakilishi zaïdi ya makumi mbili wa jamii zinazoishi kando ya Ziwa Kivu, wana omba Ku tshunguzwa, kwa athari za kimazingira na kijamii , kabla ya uchimbaji wa gaz methane , katika mtaa wa Makelele.
- Mkoa wa Lubao, ulioko zaidi ya kilomita mia mbili kutoka Kabinda, mji mkuu wa jimbo la Lomami, kwa sasa una usambazaji wa umeme kama kawaïda .
- /sites/default/files/2026-03/03032026-journal-swahili-mardimatin-web.mp3







