Journal Swahili de mardi matin 100326

Habari za asubuhi, siku ya pili 100326

  • BUNIA 
    Muungano wa wanajeshi wa Kongo na Uganda , wame hakikisha kwamba , wame haribu ngome ine za waasi wa ADF,  na kuwaua wapiganaji wao kadhaa , katika eneo la Ekulungu, huko Mambasa.
  • BENI
    Gereza la Kangwayi huko Beni , lime jazwa na watu kupita kipimo, na hali ya wafungwa ni ngumu
  • MBUJIMAYI 
    Katika Bunge la Jimbo la Kasai Oriental , baraza la wazi lililo anzishwa juma jana na Tume ya Udhibiti wa Uchumi, Fedha, na Bajeti (Ecofin kwa kifupi ) , Lime wapa wakaaji wa Mbujimayi, nafasi Ya ku inuwa sauti Zao , kuhusu mahitaji  na shida Zao ,  kwa wachaguliwa wa Jimbo.
  • /sites/default/files/2026-03/100326-journalswahili-web.mp3