Habari za mangaribi, siku ya ine 260326
- Jimboni Kivu Kaskazini, katika eneo la Lubero, ina onekana kuwa , wanajeshi Wa AFC/M23 ao jeshi la Rwanda , Wana jiondoa katika vijiji kazaa , walio kuwa wame kaliya tangu zaïdi Ya Mwaka mmoja.
- Mjini Kinshasa, wafanyikazi wanao tumika kwa Wa indo pakistanis , ambao walikuwa wamekataa kufanya kazi, tangu Siku mbili , kwa Sasa wamerejea kazini , Baada Ya Mazungumzo na waziri Wa Kazi .
- Jimboni Kasaï Central , Baada Ya Mvua kubwa iliyonyesha Siku Ya tatu hiii iliopita, mwanamke Mmoja mwenye mimba , amefariki , Katika eneo la Savenkas , kitongoji, cha Kamayi .
- /sites/default/files/2026-03/26032026-p-f-journal_swahili-jeudisoir-web.mp3







