Habari za asubuhi, siku ya ine 020426
- Baada Ya ushindi wa Leopards , na kufuzu kwa Kombe la Dunia, baada ya miaka makumi tano na mbili , manaibu wa kitaifa Kutoka pande zote , wanaamini kuwa, mafanikio haya, yanajumuisha umoja wa kitaifa , zidi ya tofauti za kisiasa.
- Katika jimbo la Kivu Kaskazini, Utulivu kidogo , ume rudi Siku Ya tatu hiii , katika vijiji kadhaa , vya Eneo la masisi , Baada Ya siku mbili , za mapigano kati ya waasi wa AFC-M23 na wapiganaji wa Wazalendo Siku Ya mungu , na Siku Ya kwanza iliyopita .
- Katika mji wa Bunia, jimboni Ituri, Kiongozi wa ujumbe Wa CICR, alitangaza katika mkutano, na waandishi wa habari , Siku Ya pili iliopita , kwamba , CICR , inajiondoa , kutoka kituo cha afya cha Rubingo, kilicho katika utawala Wa Bahema Boga, eneo la Irumu.
- /sites/default/files/2026-04/020426-p-s-journalswahili-jeudimatin-web.mp3






