Journal swahili de vendredi soir 030426

Habari za asubuhi, siku ya tano 030426

  • Jimboni Ituri Takriban watu makumi tatu na mbili waliuawa, Kati yao , madereva wa teksi za pikipiki,  na wafanyikazi wa kampuni ya madini ya eneo hilo.
  • Kuhusu malipo Ya wafanya Wa serikali , na Watumishi Wa umma , Kamati inayosimamia malipo ya mishahara yo ,  ime hakikisha kuwa,  wafanya kazi wame pata malipo Yao Ya mwezi Wa pili , na wame anza mchakato Wa  malipo ya mishahara ,  ya mwezi Wa tatu . 
  • Ukosefu wa vyoo vya umma ama toilettes publiques , Katika wilaya Barumbu , ni tatizo kubwa,  la usafi wa mazingira.
  • /sites/default/files/2026-04/030426-p-s-journalswahili-vendredimatin-web_bon.mp3