Habari za asubui, tarehe 10 juni 2026

Umoja wa bara la Afrika ulikusanya huko Lomé jumapili na jumatatu, mashirika za kitaifa kwa kuchambuwa kinacho endelea kuhusu usalama pande mwa mashariki mwa inchi ya DRC na katika maziwa makuu.

Na huko Kamina hali ya vurugo ili ripotiwa hii jumatatu kunako baraza kuu jimboni la bunge ya Haut-Lomami. Vyombo vya uzalama vili wanyimiya fursa wanabunge kuendea kikao chao kilicho andaliwa katika malengo la kuchimikwa kwa wasimamizi wapya wa bunge.

Na jimboni Ituri, hatuwa ya kuzuwiya kutapanywa kwa janga la Ebola hazitoshi kabisa ikiwa kuna nyuso nyipya kunako makambi za wahami wamoja wao wakitokea kunako maeneo za maambukizi. Hali hii yahatarisha wahami  kwa kuambukizwa zaidi.

/sites/default/files/2026-06/100625-journal-swahili-matin.mp3

Dans la même catégorie