Journal Soir

 

Tume ya uchunguzi ya Umoja wa Mataifa imeonya kuhusu mgogoro wa haki za binadamu kwa kiasi kikubwa katika majimbo ya Kivu Kaskazini na Kivu Kusini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Kazi za kutandaza lami kwenye Barabara Kuu ya Kitaifa namba 1 zimeanza rasmi kwenye sehemu za barabara kutoka mji Katende hadi Mbuji-Mayi, ambapo kampuni Safrimex tayari imeweka sehemu la kwanza la lami katika kilomita za mwanzo.

Vijana wa Beni wanaona kuwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado iko mbali na uhuru wa kweli na wanatoa wito wa kuchochea watu kuchukua hatua wa pamoja, ili kukabiliana na changamoto nyingi za nchi.

/sites/default/files/2026-06/290626_-_journal_swahili_-_soir_-_00.mp3