Journal Swahili Soir, 30 juillet 2026

Jimboni Kivu Kaskazini, watu wawili wakauliwa wakati wa mashambulizi ya wajambazi wanao jihami silaa. Ilikua usiku wa kuamkia alamisi katika vijiji viwili vya mtaa wa Nyiragongo, kaskazini mwa mji wa Goma.

Jimboni kongo central, Kazi ya kuwekakisasa barabara ya Soyo–Mvuadu inaendelea vema. Hayo, ni kupitia ujenzi wa mifereji ya maji na kusafisha njia ya barabara.

Jimboni Ituri, vijana wanaharakati wa mawasiliano wajihusisha ma msako dhidi ya Ebola mjini Bunia. Ni kihisha kufahidika na mafunzo kuhusu njia za maambukizi, hatua za kuzuia na mifumo ya tahadhari mapema.

/sites/default/files/2026-07/30072026-journal-sw-jeudi-soir-00.mp3