Jimboni Kivu Kaskazini, watu wawili wakauliwa munamo mashambulizi ya wajambazi wanao jihami silaa. Ilikua usiku wa kuamkia alamisi, julayi 30, 2026 katika vijiji viwili vya mtaa wa Nyiragongo, kaskazini mwa mji wa Goma.
Jimboni kongo central, Kazi ya kuwekakisasa barabara ya Soyo–Mvuadu inaendelea vema. Hayo, ni kupitia ujenzi wa mifereji ya maji na kusafisha njia ya barabara.
Jimboni Ituri, vijana wanaharakati wa mawasiliano wajihusisha na msako dhidi ya Ebola mjini Bunia. Ni kihisha kufahidika na mafunzo kuhusu njia za maambukizi ya ugonjwa huo, hatua za kuzuia na mifumo ya tahadhari mapema.
/sites/default/files/2026-07/31072026-journal-sw-vendredi-matin-00.mp3






