Shughuli za kukabiliana na Ebola zaimarishwa jimboni Ituri, kitovu cha mlipuko wa 17 inchini. Katika ziara yao mjini huko, Madaktari Jean Kaseya wa CDC Africa na Mohamed Yakub wa WHO Africa, wafwatilia swala lile...
Kazi za kijamii na kiuchumi zikazembea iyi Jumatano jijini Uvira, jimboni Kivu Kusini. Shirika la raia lililo toa mwito huo wa mgomo lashinikiza serikali kuwapa waaskari wa taifa na wale Wazalendo vifaa ili kukabiliana na tishio za kiusalama.
Jimboni Lualaba, Kampuni ya Usafirishaji ya jijini Kolwezi, SOTRAKOL, yaanzisha upya shughuli zake, na kuweka mabasi makubwa mapya kumi. Ni ili kuboresha huduma za uchukuzi kati ya Kolwezi na Lubumbashi.
/sites/default/files/2026-08/06082026-journal-sw-jeudimatin-00.mp3




