Afya, Zaidi ya visa elfu 50,8 vya surua vimeripotiwa majimboni Kivu Kaskazini na Kivu Kusini kati ya Januari na Julai mwaka huu wa 2026.
Mjini Beni; Watoto waliokimbia vijiji vyao wako katika hatari ya kukosa kurejea shuleni mwakani.
Na Mbuji-Mayi; Kivuko cha Epamba, kinachounganisha majimbo za Lomami na Haut-Lomami, kimefunguliwa upya baada ya miaka 23 ya kutotumika.
/sites/default/files/2026-08/18082026-journal_swahili_mardi_soir-00.mp3






