Journal soir

Itahizinishwa hivi punde kampeni ya vipimo vya kansa za matiti kwa wanawake, ikiwa ni mpango wa juma ya uhamasishaji uitwayo octobre rose

Manyumba zaidi ya miya tano zime haribiwa na mvua mkali ulio sindikizwa na upepo mkali kijijini Salamabila jimboni Maniema. Shirika la raia laomba msaada wa dharura kwa ajili ya waasiriwa.

Jimboni Ituri, texi za pikipiki za tumiwa zaidi katika shughuli za kuwapeleka watoto shuleni na kuwa rudisha manyumbani mjini Bunia ila, maswala ya kueshimu kanuni za barabara ndio shida kubwa kwa watembezaji.

/sites/default/files/2026-10/011026-journal-swahili-jeudi-soir-00.mp3