Hatika mkoa wa Ituri, shirika la Madaktari Wasio na Mipaka, MSF, litatangaza kufungwa kwa kituo cha matibabu ya Ebola cha Elikya mjini Bunia tarehe 31 Oktoba, huku mamlaka za afya zikitoa wito wa kuendelea kuheshimu kanuni za kyafia.
Waziri wa Madini wa Kongo, Louis Watum Kabamba, atetea ushirikiano wa kikanda katika sekta ya madini ili kuongeza usindikaji wa madini ndani ya nchi, kuunda ajira na kuhakikisha kuwa wananchi wanapata faida zaidi kutokana na uchimbaji wa madini.
Service national yasambaza madawati yaani ma bancs elfu mbili katika shule 14 za umma mjini Mbuji-Mayi, hatua inayolenga kuboresha mazingira ya kujifunzia kwa wanafunzi wapatao elfu saba. Haya ni yote kama muhutasari wa Habari. Sasa na waalika kufwata habari kamili.
/sites/default/files/2026-10/201026-p-s-journal_de_mardi_soir-00.mp3






