Journal Matin

-Waziri wa Kilimo, Muhindo Nzangi, amejibu maswali kuhusu matumizi ya dola milioni 57 za Benki ya Maendeleo ya Afrika, zilizo tolewa kwa ajili ya kusaidia kifeza miradi ya kilimo kwa faida vijana nchini DRC.

-Serikali ya Kongo ina wasiwasi kuhusu msongamano wa wafungwa katika gereza kuu la Makala mjini kinshasa.

-Katika jimbo la Nord- Kivu, Beyi ya safari kwa  pikipiki kati ya Beni na Oicha imeongezeka kutoka franga elfu tano hadi elfu kumi za Kongo.

/sites/default/files/2026-10/231026-p-_journal_de_vendredi_matin-00.mp3