Dola za Marekani bilioni 24.8 ni thamani ya rasimu ya bajeti ya mwaka 2027. Imekubaliwa na Bunge la taifa ili kufanyiwa kazi, kufuatia mjadala wa siku mbili.
Mlipuko wa kipindupindu unaendelea kuenea huko Mbandaka. Idara ya Afya jimboni Équateur, imekwisha ripoti visa 129 katika maeneo ya afya ya Wangata na Bolenge.
Wananchi wanapashwa kuwa watulivu na waepushwe kudanganywa na taarifa zisizo za kweli. Uwito uhu niwake administreta wa mtaya Songololo Evariste Mukeba mwenye kutowa onyo kuhusiana na madai ya kuwepo kwa watu wanao fananishswa kuwa ni wavamizi kutoka Rwanda katika shamba la Rais wa zamani Joseph Kabila huko Kiasungwa, katika sekta ya Kimpese jimboni Kongo ya kati.
/sites/default/files/2026-11/021126-p-journal_sw_lundi_matin_.mp3







