" Hasara gani huenda kupata wale watakao subutu kuchagua mara nyingi ? "

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

CHRONIQUE ELECTORALE (25è leçon)rn———————————————————————-.
“Hasara gani huenda kupata wale watakao subutu kuchagua mara nyingi ,bwana Dunia Mukunda Milemba ? “rn rn*Bibi Karina Kakasi..tulikwisha kusimulia kwa njia anga kwa njia ya redio Okapi, kama uchaguzi ni mapashwa yakirahiya kwa kila mkongomani.Nukta ya makumi sita ya sheria sifuri tano kistari sifguri kumi inayoelekeamatayarisho ya kura ya buku la uongozo wainchi yaani katiba,kataika jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo,inahakikisha kamakila mtu atakaye chagua ao kutamani kuchagua zaidi yamara moja,atahazibiwa na kufungwa mda wamwezi mmoja na kulipa faini ya pesa za kongo elfu makumi hadi elfu mia moja.Mtu yule huenda kuondoshwa haki zakeza kufanya siasa mdarnwa miaka sita.

rn*Basi ndugu Dunia Mukunda Milemba, mipango gani yenyi kuchukuliwa na sheria kuhusu,mtu mwenyi kutumia nguvu, ao kushambulia na kutukana mchaguzi.

rn* Karine,nukta ya 62 ya sheria sifuru tanao kistari sifuru kumi ilichukua hatua yakulipisha faini ya tangu elfu mia moja hadi elefu mia tano yapesa ya Kongo kidemokrasia, nakufungwa tangu miezi sita hadi miaka mitano,kwa kila mtu atakaye tumia matusi ,maneno makali ya kumsukuma mtu ao kumlazimisha mtu yule fulani achague ao asichague mtu wa mapenzi yake , yule atapigwa fimbo na sheria ya inchi.
Malipizi male yana tayarishwa kwa wale wote wenyi kuwasukuma watu ,kundi fulani kwa kuchagua, wakitumia silaha ili waogope ao kwa lengo la kuharibu hali ya usalama wakati wauchaguzi ao kiisha uchaguzi. Malipizi yale yanawaelekea wale wote huenda kuleta fujo katika mahali mauchaguzi, katika chumba cha uchaguzi ao pembeni .Kwa mwisho,wale wote watakao tenda vitendo vya kuleta fujo kwa kuharibu mwenendo wa uchaguzi, wakiwa katika makundi ao makundi yenyi silaha, watakao vumbuliwa watahazibiwa kulingana na mpango wa kuwahazibu watu ichini Kongornya kidemokrasia

rn * Basi Dunia Mukunda Milemba, kwa kuepuka kutohazibiwa na sheria ya inchi, inafaa kila mtu, mwanainchi mkongomani , ashiriki katika mipango yakurayenyikuandaliwa katika jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo na kuweza kuchagua mara moja, Sheria huendakuchukua hatau nyingi za mipango yakuwahazibu watakao rudilia makosa yale.

Texte de SAMUEL KATSHAKrn Ondes courtesrn Tél : ( 00243 ) 998909787rn E-mail : [email protected] [email protected]

Traduction en Swahili dern DUNIA MUKUNDA