Uongozi wa majimbo : Sanduku ya pesa iitwayo Sanduku ya kutatua shida yaani- caisse de péréquation -ni nini na nmana gani pesa zake zitatumiwa ?

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

Waalikwa :rn-Modeste BONIGABA, mwandishi wa vitabu na pia mwanamemba wa upinzani ;rn-Xavier MATHE, mkuu kiongozi wa divijeni ya pesa jimboni Kivu ya kaskazini ;rn-Saintré MUTOMBO, mwanamemba wa shirika FOSYCO na ni msimamizi wa shirika la rahiya.