
Mwalikwa wetu wa siku ni Bi Filia Mapenzi, Msaidizi wa Ubalozi wa Marekani wa Kinshasa. Anatueleza kuhusu mchezo unaoitwa DV LOTTERY ambao unawapa washindi nafasi ya kupata visa ya kuishi Marekani. Anazungumza na Grace Amzati./sites/default/files/2022-10/101022-p-s-kininvitefiliamapenzidvlottery-00_web.mp3







