Waziri ahusikaye na mazingira inchini Kongo


Kama mwalikwa wa siku, tunampokea Waziri wa Mazingira wa Kongo, Eve Bazaiba. Katika mahojiano na Alain Irung, anaeleza kwa urefu kuhusu kikao cha mazingira kilicho fanyika pa Yamgambi huko Kisanganai, wakati kuna pia kikao cha PRECOP ambacho kilifanyika pa Kinshasa siku chahe zilizo pita./sites/default/files/2022-10/101022-p-s-kininviteeevebazaiba-00_0.mp3