
Mashambulizi yanayoendeshwa na waasi wa ADF yameongezeka kwa idadi munamo wiki za hivi karibuni maeneo ya Beni na Lubero jimboni Kivu Kaskazini, kazalika jimboni Ituri.
Ili kukabiliana na tishio hili, ni kipi kina tekelezwa na Kikosi cha wanajeshi wa tume MONUSCO (FIB), kupitia msimamo wake wa kuwalinda raia? Tumempokea kama mwalikwa wa siku, Jenerali Alexander Edward Masangura, Kamanda wa Kikosi hicho .
Uyu hujibu kwa maswali za Martial Mukeba Wa Mukeba:/sites/default/files/2026-08/01082026-invite-sw-benigeneralalexandermasangura_web.mp3








