Hesabu ya wachaguzi

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

Wakati kuna heka heka nchini mote mwezi moja na nusu kabla ya tarehe 30 juni 2005, Komiti Huru la Uchaguzi linaendelea kutayarisha vyombo vya hesabu ya wachaguzi. Wiki hii kutaendeshwa vionyesho vya ukaguzi wa vyombo ambavyo vitatumiwa katika kazi hizi. Watakao andikiwa ni wale wanaoruhusiwa kuchagua. Sheri mamboleo ya maswala ya uchaguzi inamtaka mchaguzi kuwa mkongomani wa miaka zaidi ya kumi na nane, asiwe na amehukumiwa na sheria, asiwe askari polisi au askari jeshi, asalie katika eneo ya jamhuri ya kidemokrasi ya Kongo miezi mitatu kabla ya kesi ya wachaguzi na asalie nchini wakati wa uchaguzi.

Recevez Radio Okapi par email

Donnez votre adresse email dans ce formulaire afin de recevoir tous nos articles dans votre boîte email. Vous recevrez un message de confirmation avec un lien sur lequel il vous faudra cliquer afin que l'envoi d'emails devienne effectif.
Si vous ne voyez pas l'email de confirmation dans votre boîte de réception, allez chercher dans vos spams et marquez le message comme "non spam".  

Votre adresse email :

Service offert par FeedBurner