" WATU WENGI HUJIULIZA KAMA KURA ITWAYO REFERENDUM NI NINI ? "

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

22ème Leçon Chroniques ” Les élections c`est facile à comprendre” Swahili

rn” watu wengi

hujiuliza kama kura itwayo référendum ni nini?”

*Référendum ni hatua inayaowapa wanainchi wa

inchi fulani namna ya kupigakura, inayaoelekakuitika ao kukataa mpango uliochukuliwa na madaraka ya serkali.

Kwa jambo lenyi kuelekea wakongomani,kura hiyo ni uchunguzi wa taifa kuhusu mpango wa katiba yaani buku la

uongozo wa jamuhuri ya kidemokrasia ya akongo. Kwa hatau hiyo ya uchaguzi ni ilizo moja tuu ndilo litauliza

kwa watakao chaguamunaitika mpango wa buku la uongozo wa inchi ambalo wanawatolea ? Wachaguzi watajibu ndio

ao hapana.

*Basi tuweza kujua wapi kura hiyo ya mpango wabuku la uongozo wa inchi itafanyika

?

*Inafaa kuelewa kama uchunguzi huo wa taifa kuhusu katiba yaani buku la uongozo wa inchi,huenda

kufanyika kunako vyumba vya auchaguzi,vinayoongozwa na wanamemba waliotajwa na C.E.I vyumba vile vitageuzwa

nyuma kuwa vyumba vya kupekua vyeti vya uchaguzi .Tujue kama nukta ya makumi tatu ya sheria inaongozo wa

inchi katika jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo ilichukua hatua ya kama uchaguzi utakuwa wa siri.Na hiyo ni

kwa lengo la kuwapatia bahati wakongomani watakaochagua,bahatika ao kukataa katiba itakayoongoza;kwa manufaa

ya rahiya..

*Basi msingi kisheria wa kura ya buku la uongozo wa inchi ni gani ? Kitu gani kilisukuma

kura hiyo ifanyike katika jamuhuri ya kidemokrasiaya kongo ?

*Kura ya mpango wa buku la uongozo wa

inchi ilishimikwa na sheria ya sifuru tano sifuru kumi ya tarehe 22 yuni mwaka wa 2005, inayaoelekea

matayarisho ya kura la mpango wa buku lile katika jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo. Kufatana na maandiko ya

sheria ile ambayo ilichaguliwa na bunge la taifa, na kutangazwa na raisi wa jamuhuri, matayarisho na uongozo

wa kura ya mpango wa buku la uongozo wa inchi ni kwa mamlaka ya C.E.I. Kufanyika kwa kura hiyo inayao shabaa

ya kukomesha maoni ya kujionesha kama mtu fulani alipewa madaraka na rahiya, na pia nikwa lengo la kukomesha

fujo nyingi za kutumiana silaha, ambazo zimeharibu sana inchi.

TEXTE de SAMUEL KATSHAKrnOndes

CourtesrnTél : ( 00243 ) 998909787

rnTraduction en SWAHILI de

DUNIA MUKUNDA et rnKARINE

SIABA KAKASI

Recevez Radio Okapi par email

Donnez votre adresse email dans ce formulaire afin de recevoir tous nos articles dans votre boîte email. Vous recevrez un message de confirmation avec un lien sur lequel il vous faudra cliquer afin que l'envoi d'emails devienne effectif.
Si vous ne voyez pas l'email de confirmation dans votre boîte de réception, allez chercher dans vos spams et marquez le message comme "non spam".  

Votre adresse email :

Service offert par FeedBurner