" Kazi ya raisi wa jamuhuri ni gani ? "

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

« KAZI YA RAISI WA JAMUHURI NI GANI »rn rn* Kazi ya raisi wajamuhuri inapangwa na katiba ya jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo. Nukta ya 69 ya buku lile la uongozo wa inchi yaani katiba inajulisha kama raisi wa jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo ni mkubwa ao kiongozi cha serkali. Anasimamia ya rahiya na ni alama ya umoja wa taifa.
Raisi wa jamuhuri anachungua ili katiba ya inchi iheshimiwe,akiwa mchunguzi imara,anafwata uongozo bora wa madaraka ya serkali na vituo vingine pamoja na mwenendo bora wa serkali. Ni mwenyi kuchungua uhuru wa taifa nzima,umoja wa inchi , uongozo wa taifa katika uhaki na utii wa mipango na masikilizano ya kimataifa.
Raisi wajamuhuri anamtaja waziri wa kwanzamwenyi kutoka katika kundi la wanabunge lililopata sauti nyingi,kiisha kuzungumza nao. Raisi wa jamuhuru huenda kumtosha madarakani mwake waziri wa kwanza kama huyo anahitaji kuondoka katika uongozo wa serkali. Raisi wajamuhuri anawataja pia wanamemba wengine wa serkali na huenda kuwaondosha madarakani mwao kwa ombi la waziri wa kwanza.

“NAMNA GANI UCHAGUZI WA RAISI WA JAMUHURI HUENDA KUTENDEKA”

* Sheria sifuru sita mstari sifuru sifuru sita ya tarehe kenda mwezi wa tatu mwaka wa elfu mbili na sita,yenyi kuelekea uchaguzi mbali mbali wa uraisi , wa bunge la taifa , lile la majimbo ,la miji mikuu, ya mitaa na lokaliternSheria ahiyo inasema kamaraisi wajamuhuri anachaguliwa na watu wote kwa mzunguko wa kwanza na kwa mzunguko wa pili kwa uchaguzi wamwenyi kuwa na sauti zaidi ya nusu iliyoitajiwa,na ni kwa mda wa miaka mitano ya kurudilia mara moja.
Nukta yam ia moja na mbili ya sheria ahiyo inahakikisha kama uchaguzi wa raisi wa jamuhuri unaruhusiwa na Cei yapata siku makumi kenda mbele ya kumalizika kwamda wa madaraka ya raisi mwenyi kuongoza inchi.

“KANDIDENTI KWA URAISI WA JAMUHURI ANAPASHWA KUTIMIZA SHURTI GANI”

* Kila kandidenti kwa kugombea kiti cha uraisi anapashwa kutimiza shurti hizo.
-awe mkongomanirn-awe naamiaka 30 ya kuenea wakati wa mwisho wakutia kandidentirn-awe huru kwa kutumia hakizake za kirahiya na za kisiasarn- awe na hali ya amchaguzi aoa ajitambulishe na kujiandikisha wakati anapo julisha kandidenti yake ku CeirnTuwajulishe kama raisi mwenyi kuchaguliwa anachukua madaraka yake siku kumi kisha kutangazwa kwa nukta za uchaguzi.kwa uraisi . Mbeleya kuchukua madaraka yake kama vile raisi wa jamuhurirn Anahapa kiapo hicho.
Mimi, bwana ao bibi fulani,niliyechaguliwa raisi wa jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo, ninahapa kiserkali mbele ya Mungu na Rahiya kamarn-nitachungua na kukinga katiba na sheria za jamuhurirn-kulinda uhuru na umoja wa jamuhurirn- kukinga umoja wa taifarn- nitaongozwa na nia ya mafaa kuu ya rahiya na kuheshimi haki za mwanadamurn-nitatoa nguvu zangu zote kwa manufaa ya wote na amanirn-nitatimiza mapashwa yangu kwa uhaki nikiwa mtumishi wa rahiya kwa madaraka makuu ninoyoyapewa.

Texte de SAMUEL KATSHAKrnOndes CourtesrnTél. : 00243998909787rnE-mail : [email protected] [email protected]