Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.
“Namna gani raisi mpya aliyechaguliwa atashimikwa madarakani ? ”
* Karynne Kakasi, unaomkweli ulizo nzuri na maana sana.Kwa kujibu kwa ulizo lenyewe, inafaa kujua kama raisi mpya aliyachaguliwa anachukua madaraka yake kiisha siku kumi zenyi kufata kutajwa kwa alama kamilifu za uchaguzi ao nukta za uchaguzi.N ananaza hivi uongozi wake wa inchi mda wa miaka mitano, yakurudilia mara moja.
” Basi, Dunia Mukunda Milemba,raisi mpya yule aliyechaguliwa atafanya kitu gani mbele ya kuchukua madaraka yake ? ”
* Karynne Kakasi,nukta ya 223 ya sifuru sita,kistari, sifuru, sifuru sita ya tarehe kenda mwezi wa tatu mwaka wa 2006,,inaoaelekea matayarisho ya rnuchaguzi mbali mbali katika jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo,kuhusu uchaguzi wa uraisi wajamuhuri , ya wateule wa bunge la taifa na lile la majimbo, la mijimmikubwa ,ya nmakomini na malokaliti, sheria hiyo inasema na kuhakikisha kama mbele raisi wa mpya aliyechaguliwa mbele ya akuchukua madaraka yake anaapa kiapo mbele ya korti kuu ya sheria, kiapo hichorn-Mimi, bwana aoa bibi fulani,niliyachaguliwa raisi wajamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo,naapa kiserkali mbele ya Mungu na rahiya wote-rnkuchunga na kuykingabuku la uongozo wa inchi yaani katiba na sheria za jamuhuri.
kulinda uhuru na eneo lote la jamuhuri rnkukinga umoja wa inchi yoternnitajiachilia kuongozwa na manufaa ya inchi na kuheshimu haki ya kila mwanadamurnnitatoa nguvu zangu zote kwa kugombea mali ya wote na pia amani.
nitafanya kwa ukweli na kwa mtumishi wa haki wa rahiya, kazi kubwa ninazopewa. Karynne Kakasi, kwa ginsi ya kukumbusha , raisi wa jamuhuri ni mkubwa wa serkali. Niyeye mwenyikuwakilisha rahiya na ni alama ya umoja wa taifa.
Texte de SAMUEL KATSHAKrnOndes couertes 3è HeuresrnTél. : 00243998909787rnExt.: 6961rnE-mail : [email protected] [email protected]
Traduction Swahili de DUNIA MUKUNDA






