Jambo kuhusu Kahemba- namna gani ya kutatua shida ile ya mipaka kati Jamuhuri ya kidemokrasia ya KONGO na Jamuhuri ya ANGOLA-Kuwarudisha wapiganaji wa zamani katika maisha yao ya kirahiya- mipango gani ya kuchukua.

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

Waalikwa ni :rn-MOLISO NENDOLO mwanamemba wakundi la siasa camp de la patrie na pia msimamizi wa upinzani. ;rn-SUDI ALIMASI mshauri kunako uwaziri wa mambo ya ndani na usalama, na pia ni msimamizi wa kundi lenyi kuwa madarakani.ir ;rn-Vétos MENDA mwanamemba wa shirika la kiutu Caritas développement Congo na ni msimamizi wa shirika la rahiya.