Serkali inawaza nini juu ya kuwarudisha katika maisha ya kawaida wakongomani waliofukuzwa katika inchi za kigeni

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

Waalikwarn-MOLISO NENDOLO mwanamemba wa kundi la siasa Camp de la patrie na msimamizi wa upinzani ;rn-SUDI ALIMASI mshauri kunako uwaziri unaousika na mambo ya ndani na ni msimamizi wa kundi la uwingi lenyi kuwa madarakani ;rn-Vetos MENDA mwanamemba wa shirika la kiutu CARITAS maendeleo Kongo na ni pia msimamizi wa shirika la rahiya.