Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.
Wasimamizi wa upinzani. wa kundi lenyi kuwa madarakani na wale wa shirika la rahiya wanajibu kwa swali lile..
rnWaalikwa :
- Donatien KANYIZIA, mwanabunge la taifa na pia mwanamemba wa chama cha siasa MLC, msimamizi wa upinzani. ;rn- Jean MBUYU, mwanabunge la taifa na mwanachama cha siasa PPRD, msimamizi wa kundi lenyi kuwa madarakani;rn- Télesphore NDUBA, muhamzi wa korti kuu ya Kalamu hapa mjini Kinshasa, msimamizi washirika la rahiya.