Masikilizano kati ya Jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo na muungano wa Ulaya,Vinyume vya kuanguka kwa ndege za mabawa ya aina ya Antonov katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na pia uongozo wa majimbo : Hayo ndio maoni yaliyochaguliwa huru na waalikwa

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

Waalikwa :rn-Guy-Marin BAGUMA mwanamemba wa chama cha siasa UDPS na ni msimamizi wa upinzani ;rn-Jérôme TCHOMBE mwanamemba wa chama cha siasa PPRD na ni msimamizi wa kundi la uwingi lenyi kuwa madarakani ;rn-Saintrin MUTOMBO mwanamemba wa shirika FOSYCO na ni msimamizi wa shirika la rahiya.