Mkutano kuhusu amani na maendeleo katika majimbo ya Kivu ya kusini na kaskazini : Mkutano ule huenda kweli kumaliza mizozo inayokumba majimbo yale mbili ?

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

Waalikwa :rn-Bertin BANGANYINGABO, mwanabunge la taifa na ni mwanamemba wa chama cha siasa RCD na pia msimamizi wa upinzani ;rn-Ignace MUPIRA, liwali wa zamani , na ni mwanamemba AMP, msimamizi wa kundi la uwingi lenyi kuwa madarakani ;rn-BYABUZE KATABARUKA, mwalimu wa uhaki kunako Universiti ya kikatoliki mjini Bukavu, ni msimamizi wa shirika la rahiya.