Kukata miti,hali ya makampuni ya madini na pia amani mashariki mwa jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo : Hayo ndio maoni yaliyochaguliwa huru na waalikwa wa leo mangaribi.

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

Waalikwa :rn-Guy-Marin BAGUMA, mwanamemba wa chama cha siasa UDPS na ni msimamizi wa upinzani ;rn-Bibi Marguerite NIKI, waziri wa jimbo la Mashariki ausikae na pesa na uchumi na viwanda vya serkali, ni msimamizi wa kundi lenyi kuwa madarakani ;rn-Saintré MUTOMBO, mwanamemba wa shirika FOSYCO na ni msimamizi wa shirika la rahiya.