Ulizo kwa waziri ausikae na mambo ya ndani, mipango tano iliyochukuliwa na raisi wa jamuhuri na pia hali mbaya ya maisha ya wakaaji katika jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo- hayo ndio maoni yaliyochaguliwa huru na waalikwa wa leo mangaribi

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

Waalikwa :

- Martin Mokonkole, mwanabunge la taifa na pia ni mwanamemba wa chama cha siasa RCDN, yupo msimamizi wa upinzani ;rn- Vicky Katumwa, mwanabunge la taifa na pia ni mwanamemba wa chama cha siasa FSIR yupo msimamizi wa kundi la uwingi lenyi kuwa madarakani ;rn- Patient Muhemeri, mwanamemba wa shirika SYECO na ni msimamizi wa shirika la rahiya.