Habari za asubui, tarehe 18 june, 2026.

Siku moja pekee yaki pita bila kuchukua hatua dhidi ya kuenea kwa virusi vya Ebola inchini Congo na Uganda ni nyingi sana. Hayo ni matamshi yake Rais wa Jamhuri ya Burundi akiwa ni Mwenyekiti kwa sasa wa Umoja wa Afrika, Evariste Ndayishimiye. Ilikua katika mkutano mkuu hii  juma nne

Mjini Kinshasa, ma milioni ya familia za  wahami toka majimboni Kivu Kaskazini na Kusini yaishi kwa sasa katika hali ngumu. Baadhi ya hawa hawana pesa tena, huko wamekosa hata rasilimali ili kulipa kodi za upangayi...

Jimboni Tshopo, hatua la kusimamisha ushuru wa vyakula kwa miezi miwili umezua hisia. Shirika la wanabiashara wa Kongo, FEC, seksheni ya Tshopo, linataka mageuzi ya kina ifanyike ili kufikia utulivu wa kudumu wa soko.

/sites/default/files/2026-06/18062026_-_journal_sw_-_matin_-00.mp3