Journal de jeudi soir, 050626

Habari za siku ya ine mangaribi 050326

  • Vikwazo vilivyowekwa tarehe pili ya mwezi huu Wa tatu , na serikali ya Marekani, zidi ya jeshi la Rwanda,  na makamanda wake wanne,  wanaotuhumiwa kuunga mkono kundi la waasi la M23 , linalohusika na ukatili katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, vinaendelea ku wa semesha watu. 
  •  Katika eneo la Mwenga, haswa Kamituga, maporomoko ya ardhi , yaliyotokea Siku ya ine tarehe ine , mwezi tulimo ,  katika eneo la uchimbaji madini la Kalingi ,  yalisababisha vifo vya wachimbaji wadogo wawili.
  • Balozi wa Ufaransa injini Congo Remi Maraichaux ,  alikaribisha utekelezaji wa mradi wa savanna na misitu iliyoharibiwa,  katika jimbo la Tshopo.
  • /sites/default/files/2026-03/050326-journalswahili-jeudisoir-web.mp3