Habari za asubuhi siku ya tatu 180326
- Baada ya Ku kataa Ku tumika , kwa madereva wa teksi na mabasi , Siku ya kwanza hiii iliopita mjini Kinshasa , Madèreva Wa chache wame rudi kazini ,siku ya pili hiii.
- Katika Jimbo la Ituri, zaïdi ya watu kumi wame uawa , na nyumba zime chomwa , katika shambulio la watu wasiojulikana wenye silaha huko Babesua, katika eneo la Mambasa.
- Jimboni Kasai Oriental, Mahakama Kuu ya Mbuji-Mayi imefungwa tangu Siku ya kwanza iliopita .
- /sites/default/files/2026-03/18032026-p-s-journalswahilimatin-web.mp3




