Habari z'asubuhi 27 Mei, 2025
- Kinshasa: Rais wa zamani wa Jamhuri Joseph Kabila hana chochote cha kutoa kuhusu kesho ya wana nchi wa Kongo. Ni maneno ya msemaji wa serikali ya Kongo, Patrick Muyaya baada ya habari kuhusu kuwasili kwa Joseph Kabila mjini Goma
- Mbuji Mayi: Visa sita vya ugonjwa wa kifua kikuu viligunduliwa katika gereza kuu la Mbuji Mayi baada ya vipimo kuandaliwa kwa wafungwa na serikali ya mkoa mwanzoni mwa mwezi huu tunao
- Kinshasa: Mjini Kinshasa, serikali kuu inatangaza kwamba imetoa fedha zote muhimu kwa ajili ya ukarabati wa barabara za Kinshasa./sites/default/files/2025-05/270525-p-s-journalswahilimatin-00-web.mp3