Habari z'asubuhi 28 Mei, 2025
- Kinshasa : Mashirika ya BADILIKA na Amnesty International yanaomba kuachiliwa kwa askari jeshi wa FARDC na askari polisi wa Kongo, washirika wao wa Wazalendo, pamoja na raia wengi wanaofanyiwa vitendo vya kinyama katika vituo vya mafunzo na kizuizini vya waasi wa M23 huko Kivu Kaskazini
- Kalemie : Mji wa Kalemie umetumbukia gizani tangu siku tano sasa. SNEL inatangaza kwamba kuna hitilafu ya kiufundi ambayo imetokea kwenye bwawa ya umeme ya Bendera
- Kinshasa : Benki ya Dunia imeidhinisha Mradi wa thamani ya zaidi ya dola milioni mia mbili kwa ajili ya Udhibiti wa mafuriko na udhibiti wa taka taka mjini Kinshasa/sites/default/files/2025-05/280525-p-s-journalswahilimatin-00-web.mp3