Habari zetu za siku ya ijumaa tarehe 18 julay 2025
- Kulianzishwa Alhamisi hii mtihani wa Kitaifa wa Mwongozo wa Shule na Kazi (TENASOSP) kote nchini. Waziri wa Nchi wa Elimu, Raïssa Malu, aliwatakiya wanafunzi waonyeshe akili na kujitolea katika kipindi chote cha mtihani.
- Kalemie zaidi ya watoto wachanga elfu 860 000 wanangojewa kupekeya chanjo yakupiganisha ugonjwa wa polio virus dani ya jimbo la Tanganyika. Kameni hiyo ilifunguliwa rasmi jumatano.
-
Watu kumi na mmoja walikufa usiku katika ajali ya trafiki kwenye eneo la Niania na kilomita 20 katika eneo la Mambasa. Ilikuwa gari lenye kubeba wafanyakazi wa kampuni ya uchimbaji madini likisafiri kwa mwendo wa kiasi.
/sites/default/files/2025-07/18072025-p-journal_swahili_vendredi_matin-00-web.mp3