Journal matin

Habari zetu za Alhamisi tarehe 28 Ogusti 2025.

  •  Askofu Mkuu wa Lubumbashi anapinga vikali kubomolewa kwa Shule hiyo ya Kikatoliki iliyoko Lwisha, kilomita 80 kutoka Lubumbashi kwenye mhimili wa Likasi.
  •  Pale kisangani Bado wiki moja kabla ya mwaka wa shule kuanza, uandikishaji wawatoto unadorota katika shule mbalimbali za serikali. Sababu ni ukosefu wa rasilimali za kifedha.
  • Mjini kinshasa Hukumu iliyosubiriwa kwa muda mrefu katika kesi yake Constant Mutamba imeahirishwa hadi tarehe nyingine. Waamzi wa Mahakama wanasema kuwa bado hawako tayari kutoa uamuzi huo. Jueni kama wanachama chake, NOGEC/Tshopo, na wafuasi wao waliingia barabarani pale Kisangani leo asubuhi.

/sites/default/files/2025-08/280825-p-s-journalswahilimatin-00web.mp3