journal matin

Habari zetu za Alhamisi tarehe 2 octoba 2025.

  • Kivu Kaskazini, karibu wanafunzi 400 katika Shule ya Msingi ya Kitaviro, karibu 100 km kutoka mji wa Butembo, wanasoma katika mazingira mabaya., Madarasa syao yaliharibiwa na mabomu wakati wa mapigano kati ya FARDC na AFC/M23.
  • Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel Denis Mukwege anashutumu kuendelea kutoadhibiwa kwa uhalifu mkubwa unaofanywa nchini DRC na kutoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka za haki za mpito ili kuhakikisha ukweli, fidia, na kutojirudia.
  • Shirika la raiya mpya ya kongo yatoa maoni yake kuhusu jutumwa kwa majeshi na polisi ili kumaliza msongamano wa magari mjini kinshasa. Jonas Tshiombela, anatetea kushirikishwa kwa shirika la raiya na watetezi wa haki za binadamu kufuatilia makosa yanayoweza kutokea ili haki za watumiaji ziheshimiwe.

/sites/default/files/2025-10/021025-p-s-journalswahilimatin-00web_0.mp3