Journal matin

Habari za asubuhi siku ya ine 120326

  • MONUSCO, inalaani vikali shambulio la ndege zisizo na rubani ama drones , zilizotekelezwa Siku ya tatu  hii asubuhi , mjini Goma.
  • Katika jimbo la Kivu Kusini, eneo la afya la Mwenga, linakabiliwa na mlipuko wa kipindupindu.
  • Mjini Kisangani,  Mwanahabari Serge Sindani, mkurugenzi wa kituo cha habari cha mtandaoni Kis24.info, anakamilisha zaïdi ya  juma moja  , Ya  kuzuiliwa katika Shirika la Kitaifa la Ujasusi.
  • /sites/default/files/2026-03/120326-p-s-journalswahilijeudimatin-web.mp3