Vital Kamerhe atoa wito wa mazungumzo ili kudumisha amani nchini DRC. Spika wa zamani wa Bunge la Taifa hujibu hivo kwa uongozi wa Joseph Kabila wa Chama cha Ujenzi Mpya wa Taifa, FRN. Huyu huomba itiliwe maanani mazungumzo kama njia ya kudumisha utulivu na maendeleo nchini.
Mkoani Ituri, wanafunzi takribani 25 waambukizwa na ugonjwa wa virusi vya Ebola katika sekta la elimu Ituri 1. Huku, myongoni mwao, wanafunzi kumi wamefariki tayari na wengine saba wafwatilia bado matibabu.
Kasaï-central, Mashirika madogo na za kati za Biashara ya kilimo zahitaji ufadhili. Ili kukabiliana na changamoto hiyi, Shirika la Chakula Ulimwenguni, PAM, lazindua mradi wa IGNITE DRC, ili kuraisisha mikopo kwa makampuni hizo za biashara.
/sites/default/files/2026-10/15102026_-_journal-_swahili_-_matin-00.mp3





